sw_tn/luk/23/03.md

438 B

Pilato akamuuliza

"Pilato akamuuliza Yesu"

Wewe wasema

"Ulichokisema ni sawa" au " Ni kama ulivyo niuliza mimi"

makutano

"Mkusanyiko wa watu"

Sioni kosa kwa mtu huyu

"Sijaona kuwa mtu huyo ana hatia ya kitu chochote)

akiwachochea

"kusababisha ghasia miongoni"

kuanzia Galilaya na sasa yuko hapa

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Alianza kusababisha ghasia huko Galilaya na sasa anasababisha ghasia hapa"