sw_tn/luk/23/03.md

24 lines
438 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Pilato akamuuliza
"Pilato akamuuliza Yesu"
# Wewe wasema
"Ulichokisema ni sawa" au " Ni kama ulivyo niuliza mimi"
# makutano
"Mkusanyiko wa watu"
# Sioni kosa kwa mtu huyu
"Sijaona kuwa mtu huyo ana hatia ya kitu chochote)
# akiwachochea
"kusababisha ghasia miongoni"
# kuanzia Galilaya na sasa yuko hapa
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Alianza kusababisha ghasia huko Galilaya na sasa anasababisha ghasia hapa"