# Pilato akamuuliza "Pilato akamuuliza Yesu" # Wewe wasema "Ulichokisema ni sawa" au " Ni kama ulivyo niuliza mimi" # makutano "Mkusanyiko wa watu" # Sioni kosa kwa mtu huyu "Sijaona kuwa mtu huyo ana hatia ya kitu chochote) # akiwachochea "kusababisha ghasia miongoni" # kuanzia Galilaya na sasa yuko hapa Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. "Alianza kusababisha ghasia huko Galilaya na sasa anasababisha ghasia hapa"