sw_tn/luk/22/69.md

1.1 KiB

kuanzia sasa

"kuanzia siku hii" au "kuanzia kutoka leo"

Mwana wa Adamu

Yesu alitumia sentensi hii kumaanisha Kristo. Alimaanisha kwamba alikuwa akijiongelea mwenyewe, lakini wazee iliwalazimu kuuliza kuona kama hivyo ndivyo kweli alikuwa akisema.

amekaa mkono wa kuume wa nguvu ya Mungu

Wayahudi walielewa kwamba hakuna hata mmoja ambaye angeweza kukaa pale.Waliiona hii ni sawa na kusema "atakuwa na Mungu kama Mungu."

nguvu ya Mungu

"Mungu mwenye nguvu zote." Hapa "nguvu" inamaanisha mamlaka yake kuu.

Kwa hiyo wewe ni Mwana wa Mungu?

Baraza lilimhukumu Yesu kusulubiwa kwa sababu alijithibitishia kwamba yeye alikuwa "Mwana wa Mungu," akijua Baraza litamhukumu kifo.

Mwana wa Mungu

Hiki ni cheo muhimu kwa Yesu.

Ninyi mmesema mimi ndiye

"Ndiyo, ni kama mlivyosema"

Kwanini bado tunahitaji tena ushahidi?

Walitumia swali kwa kuweka msisitizo. Tafsiri mbadala: "Hatuna haja tena ya kuwa na ushahidi!"

tumesikia kutoka katika kinywa chake mwenyewe

Tafsiri mbadala: "tumesikia moja kwa moja kutoka kwake kwamba anaamini yeye ni Mwana wa Mungu"