sw_tn/luk/22/59.md

20 lines
432 B
Markdown

# akasisitiza akasema
"alisema kwa msisitizo" au "alisema kwa sauti"
# Kweli kabisa huyu mtu
Hapa "huyu mtu" inamaanisha Petro. Muongeaji inawezeka hakulijua jina Petro.
# ni Mgalilaya
Mwanaume aliweza kuonyesha Petro alitokea Galilaya kutokana na jinsi alivyoongea.
# sijui usemalo
Tafsiri mbadala: "kile ulichosema si kweli kabisa" au "kile ulichosema na uongo kabisa"
# wakati akiongea
"wakati Petro alipokuwa akiongea"