sw_tn/luk/22/59.md

432 B

akasisitiza akasema

"alisema kwa msisitizo" au "alisema kwa sauti"

Kweli kabisa huyu mtu

Hapa "huyu mtu" inamaanisha Petro. Muongeaji inawezeka hakulijua jina Petro.

ni Mgalilaya

Mwanaume aliweza kuonyesha Petro alitokea Galilaya kutokana na jinsi alivyoongea.

sijui usemalo

Tafsiri mbadala: "kile ulichosema si kweli kabisa" au "kile ulichosema na uongo kabisa"

wakati akiongea

"wakati Petro alipokuwa akiongea"