# akasisitiza akasema "alisema kwa msisitizo" au "alisema kwa sauti" # Kweli kabisa huyu mtu Hapa "huyu mtu" inamaanisha Petro. Muongeaji inawezeka hakulijua jina Petro. # ni Mgalilaya Mwanaume aliweza kuonyesha Petro alitokea Galilaya kutokana na jinsi alivyoongea. # sijui usemalo Tafsiri mbadala: "kile ulichosema si kweli kabisa" au "kile ulichosema na uongo kabisa" # wakati akiongea "wakati Petro alipokuwa akiongea"