sw_tn/luk/22/54.md

12 lines
342 B
Markdown

# wakamuongoza
"wakamuongoza Yesu kutoka kwenye bustani mahali ambapo walikuwa wamemkamata"
# walikuwa wamewasha moto
Moto ulikuwa ni wakuwapa watu joto. Tafsiri mbadala: "baadhi ya watu walikuwa wamewasha moto."
# katikati ya uwanda wa ndani
Huu ulikuwa uwanda katika nyumba ya kuhani mkuu. Ulikuwa na kuta pande zote, lakini bila paa.