# wakamuongoza "wakamuongoza Yesu kutoka kwenye bustani mahali ambapo walikuwa wamemkamata" # walikuwa wamewasha moto Moto ulikuwa ni wakuwapa watu joto. Tafsiri mbadala: "baadhi ya watu walikuwa wamewasha moto." # katikati ya uwanda wa ndani Huu ulikuwa uwanda katika nyumba ya kuhani mkuu. Ulikuwa na kuta pande zote, lakini bila paa.