sw_tn/luk/22/54.md

342 B

wakamuongoza

"wakamuongoza Yesu kutoka kwenye bustani mahali ambapo walikuwa wamemkamata"

walikuwa wamewasha moto

Moto ulikuwa ni wakuwapa watu joto. Tafsiri mbadala: "baadhi ya watu walikuwa wamewasha moto."

katikati ya uwanda wa ndani

Huu ulikuwa uwanda katika nyumba ya kuhani mkuu. Ulikuwa na kuta pande zote, lakini bila paa.