sw_tn/luk/22/45.md

478 B

Alipoamka kutoka katika maombi yake

Tafrisi mbadala: "Wakati Yesu alipoamka baada ya kuomba" au "Baada ya kuomba, Yesu aliamka na"

akawakuta wamelala kwa sababu ya huzuni nyingi

"aliwaona kwamba walikuwa wamelala kwa sababu walikuwa na huzuni sana"

Kwanini mnalala?

Inaweza kumaanisha 1) "Nashangazwa kwamba mnalala sasa" au 2) "Hampaswi kuwa mmelala sasa hivi!"

kwamba msiingie majaribuni

"msijaribiwe" au "hakuna kitu cha kuwajaribu na kuwafanya mtende dhambi"