sw_tn/luk/22/45.md

16 lines
478 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alipoamka kutoka katika maombi yake
Tafrisi mbadala: "Wakati Yesu alipoamka baada ya kuomba" au "Baada ya kuomba, Yesu aliamka na"
# akawakuta wamelala kwa sababu ya huzuni nyingi
"aliwaona kwamba walikuwa wamelala kwa sababu walikuwa na huzuni sana"
# Kwanini mnalala?
Inaweza kumaanisha 1) "Nashangazwa kwamba mnalala sasa" au 2) "Hampaswi kuwa mmelala sasa hivi!"
# kwamba msiingie majaribuni
"msijaribiwe" au "hakuna kitu cha kuwajaribu na kuwafanya mtende dhambi"