sw_tn/luk/22/28.md

717 B

mmeendelea kuwa nami katika majaribu yangu

"mmekaa nami katika mapito yangu"

Nawapa ninyi ufalme, kama vile Baba alivyonipa mimi ufalme

Lugha nyingine zinaweza hitaji kubadilisha mpangilio. "Kama baba alivyonipa mimi ufalme, nami nawapeni."

Nawapa ninyi ufalme

"Nawafanya ninyi watawala katika Ufalme wa Mungu" au "Nawapa ninyi mamlaka kutawala katika ufalme" au "Nitawafanya ninyi wafalme"

kama Baba alivyonipa mimi ufalme

"kama Baba alivyonipa mimi mamlaka kutawala kama mfalme katika ufalme wake"

Mtakaa kwenye viti vya enzi

Tafsiri mbadala: "mtafanya kazi kama wafalme" au "mtafanya kazi za wafalme"

Viti vya enzi

Tafsiri mbadala: "Viti vya wafalme" au "viti vilivyotengenezwa kwa wafalme"