# mmeendelea kuwa nami katika majaribu yangu "mmekaa nami katika mapito yangu" # Nawapa ninyi ufalme, kama vile Baba alivyonipa mimi ufalme Lugha nyingine zinaweza hitaji kubadilisha mpangilio. "Kama baba alivyonipa mimi ufalme, nami nawapeni." # Nawapa ninyi ufalme "Nawafanya ninyi watawala katika Ufalme wa Mungu" au "Nawapa ninyi mamlaka kutawala katika ufalme" au "Nitawafanya ninyi wafalme" # kama Baba alivyonipa mimi ufalme "kama Baba alivyonipa mimi mamlaka kutawala kama mfalme katika ufalme wake" # Mtakaa kwenye viti vya enzi Tafsiri mbadala: "mtafanya kazi kama wafalme" au "mtafanya kazi za wafalme" # Viti vya enzi Tafsiri mbadala: "Viti vya wafalme" au "viti vilivyotengenezwa kwa wafalme"