sw_tn/luk/22/28.md

24 lines
717 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# mmeendelea kuwa nami katika majaribu yangu
"mmekaa nami katika mapito yangu"
# Nawapa ninyi ufalme, kama vile Baba alivyonipa mimi ufalme
Lugha nyingine zinaweza hitaji kubadilisha mpangilio. "Kama baba alivyonipa mimi ufalme, nami nawapeni."
# Nawapa ninyi ufalme
"Nawafanya ninyi watawala katika Ufalme wa Mungu" au "Nawapa ninyi mamlaka kutawala katika ufalme" au "Nitawafanya ninyi wafalme"
# kama Baba alivyonipa mimi ufalme
"kama Baba alivyonipa mimi mamlaka kutawala kama mfalme katika ufalme wake"
# Mtakaa kwenye viti vya enzi
Tafsiri mbadala: "mtafanya kazi kama wafalme" au "mtafanya kazi za wafalme"
# Viti vya enzi
Tafsiri mbadala: "Viti vya wafalme" au "viti vilivyotengenezwa kwa wafalme"