sw_tn/luk/22/24.md

24 lines
537 B
Markdown

# Kisha yakatokea mabishano katikati yao
"Kisha mitume wakaanza kubishana wao kwa wao"
# ni nani aliye mkubwa
Tafsiri mbadala: "watu wangefikiri ni wa muhimu sana"
# Akawaambia
"Yesu akawaambia mitume"
# wana ubwana juu yao
"wanatawala kwa ukatili juu yao" au "wanapenda kutumia nguvu juu yao"
# wanaitwa
Watu inawezekana hawakuwafikiria wale watawala kama watawala wakuheshimiwa. Tafsiri mbadala: "walipenda kuitwa" au "walijiita wenyewe."
# waheshimiwa watawala
Tafsiri mbadala: "wafadhili" au "viongozi wanaowasaidia watu"