sw_tn/luk/22/24.md

537 B

Kisha yakatokea mabishano katikati yao

"Kisha mitume wakaanza kubishana wao kwa wao"

ni nani aliye mkubwa

Tafsiri mbadala: "watu wangefikiri ni wa muhimu sana"

Akawaambia

"Yesu akawaambia mitume"

wana ubwana juu yao

"wanatawala kwa ukatili juu yao" au "wanapenda kutumia nguvu juu yao"

wanaitwa

Watu inawezekana hawakuwafikiria wale watawala kama watawala wakuheshimiwa. Tafsiri mbadala: "walipenda kuitwa" au "walijiita wenyewe."

waheshimiwa watawala

Tafsiri mbadala: "wafadhili" au "viongozi wanaowasaidia watu"