# Kisha yakatokea mabishano katikati yao "Kisha mitume wakaanza kubishana wao kwa wao" # ni nani aliye mkubwa Tafsiri mbadala: "watu wangefikiri ni wa muhimu sana" # Akawaambia "Yesu akawaambia mitume" # wana ubwana juu yao "wanatawala kwa ukatili juu yao" au "wanapenda kutumia nguvu juu yao" # wanaitwa Watu inawezekana hawakuwafikiria wale watawala kama watawala wakuheshimiwa. Tafsiri mbadala: "walipenda kuitwa" au "walijiita wenyewe." # waheshimiwa watawala Tafsiri mbadala: "wafadhili" au "viongozi wanaowasaidia watu"