sw_tn/luk/22/17.md

649 B

alipokwisha kushukuru

"alipokwisha toa shukurani kwa Mungu"

akasema

"akasema kwa mitume wake"

mgawane ninyi kwa ninyi

Tafsiri mbadala: "mgawane divai miongoni mwenu" au "ninyi wote mnywe divai kidogo kutoka katika hiki"

kwa maana nawaambia

Hii sentensi inatumika kusisitiza wa kile ambacho Yesu atakisema baada ya hiki.

mzao wa mzabibu

Hii inarejea "jwisi" ambayo inakamuliwa kutoka katika zabibu inayoota kwenye shamba la mizabibu. Divai inatokana na "jwisi" ya zabibu iliyochacha.

mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja

Tafsiri mbadala: "Mpaka Mungu atakapoimarisha ufalme wake" au "mpaka Mungu atakapotawala katika ufalme wake.