# alipokwisha kushukuru "alipokwisha toa shukurani kwa Mungu" # akasema "akasema kwa mitume wake" # mgawane ninyi kwa ninyi Tafsiri mbadala: "mgawane divai miongoni mwenu" au "ninyi wote mnywe divai kidogo kutoka katika hiki" # kwa maana nawaambia Hii sentensi inatumika kusisitiza wa kile ambacho Yesu atakisema baada ya hiki. # mzao wa mzabibu Hii inarejea "jwisi" ambayo inakamuliwa kutoka katika zabibu inayoota kwenye shamba la mizabibu. Divai inatokana na "jwisi" ya zabibu iliyochacha. # mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja Tafsiri mbadala: "Mpaka Mungu atakapoimarisha ufalme wake" au "mpaka Mungu atakapotawala katika ufalme wake.