sw_tn/luk/22/17.md

24 lines
649 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# alipokwisha kushukuru
"alipokwisha toa shukurani kwa Mungu"
# akasema
"akasema kwa mitume wake"
# mgawane ninyi kwa ninyi
Tafsiri mbadala: "mgawane divai miongoni mwenu" au "ninyi wote mnywe divai kidogo kutoka katika hiki"
# kwa maana nawaambia
Hii sentensi inatumika kusisitiza wa kile ambacho Yesu atakisema baada ya hiki.
# mzao wa mzabibu
Hii inarejea "jwisi" ambayo inakamuliwa kutoka katika zabibu inayoota kwenye shamba la mizabibu. Divai inatokana na "jwisi" ya zabibu iliyochacha.
# mpaka ufalme wa Mungu utakapokuja
Tafsiri mbadala: "Mpaka Mungu atakapoimarisha ufalme wake" au "mpaka Mungu atakapotawala katika ufalme wake.