sw_tn/luk/22/14.md

441 B

Nina shauku kubwa

"Nimetaka sana"

Kwa maana nawaambieni

Hii sentensi inatumika kusisitiza umuhimu wa kile Yesu atakisema baada ya hicho.

mpaka itakapotimizwa

Inaweza kutafsiriwa kama 1) "mpaka kusudi la Sikukuu ya Pasaka litakapokuwa limetimizwa" au 2) "mpaka tutakapokula na kushangilia Sikukuu ya mwisho ya Pasaka." Tafsiri mbadala: "Mpaka Mungu atakapoitimiliza" au "mpaka Mungu atakapolitimiliza kusudi la Sikukuu ya Pasaka."