# Nina shauku kubwa "Nimetaka sana" # Kwa maana nawaambieni Hii sentensi inatumika kusisitiza umuhimu wa kile Yesu atakisema baada ya hicho. # mpaka itakapotimizwa Inaweza kutafsiriwa kama 1) "mpaka kusudi la Sikukuu ya Pasaka litakapokuwa limetimizwa" au 2) "mpaka tutakapokula na kushangilia Sikukuu ya mwisho ya Pasaka." Tafsiri mbadala: "Mpaka Mungu atakapoitimiliza" au "mpaka Mungu atakapolitimiliza kusudi la Sikukuu ya Pasaka."