sw_tn/luk/22/14.md

12 lines
441 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nina shauku kubwa
"Nimetaka sana"
# Kwa maana nawaambieni
Hii sentensi inatumika kusisitiza umuhimu wa kile Yesu atakisema baada ya hicho.
# mpaka itakapotimizwa
Inaweza kutafsiriwa kama 1) "mpaka kusudi la Sikukuu ya Pasaka litakapokuwa limetimizwa" au 2) "mpaka tutakapokula na kushangilia Sikukuu ya mwisho ya Pasaka." Tafsiri mbadala: "Mpaka Mungu atakapoitimiliza" au "mpaka Mungu atakapolitimiliza kusudi la Sikukuu ya Pasaka."