sw_tn/luk/22/10.md

549 B

Akawajibu

"Yesu akawajibu Petro na Yohana"

mwanaume ambaye amebeba mtungi wa maji atakutana na ninyi.

"mtamuona mtu amebeba mtungi wa maji"

amebeba mtungi wa maji

"amebeba mtungi wenye maji ndani yake." Inawezekana angekuwa amebeba mtungi begani mwake.

Mfuateni kwenye nyumba ambayo ataingia

Tafsiri mbadala: "Mfuateni, na ingieni kwenye hiyo nyumba"

Mwalimu anakwambia

Hii inaanzisha nukuu elekezi ambapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake nini cha kusema.

Mwalimu

Hii inaongela juu ya Yesu.

Kula Pasaka

"kula mlo wa Pasaka"