sw_tn/luk/22/10.md

28 lines
549 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Akawajibu
"Yesu akawajibu Petro na Yohana"
# mwanaume ambaye amebeba mtungi wa maji atakutana na ninyi.
"mtamuona mtu amebeba mtungi wa maji"
# amebeba mtungi wa maji
"amebeba mtungi wenye maji ndani yake." Inawezekana angekuwa amebeba mtungi begani mwake.
# Mfuateni kwenye nyumba ambayo ataingia
Tafsiri mbadala: "Mfuateni, na ingieni kwenye hiyo nyumba"
# Mwalimu anakwambia
Hii inaanzisha nukuu elekezi ambapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake nini cha kusema.
# Mwalimu
Hii inaongela juu ya Yesu.
# Kula Pasaka
"kula mlo wa Pasaka"