# Akawajibu "Yesu akawajibu Petro na Yohana" # mwanaume ambaye amebeba mtungi wa maji atakutana na ninyi. "mtamuona mtu amebeba mtungi wa maji" # amebeba mtungi wa maji "amebeba mtungi wenye maji ndani yake." Inawezekana angekuwa amebeba mtungi begani mwake. # Mfuateni kwenye nyumba ambayo ataingia Tafsiri mbadala: "Mfuateni, na ingieni kwenye hiyo nyumba" # Mwalimu anakwambia Hii inaanzisha nukuu elekezi ambapo Yesu aliwaambia wanafunzi wake nini cha kusema. # Mwalimu Hii inaongela juu ya Yesu. # Kula Pasaka "kula mlo wa Pasaka"