sw_tn/luk/22/05.md

24 lines
374 B
Markdown

# Wali..
"Wakuu wa makuhani na wakuu"
# kumpa fedha
"kumpa Yuda fedha"
# alilidhia
"alikubali"
# alitafuta fursa ya kumkabidhi Yesu kwao mbali na kundi la watu
hiki ni kitendo kinachoendelea baada ya sehemu hii ya simulizi kuisha.
# kumkabidhi
"kuwasaidia kumkamata Yesu"
# mbali na kundi la watu
"kwa usiri" au "wakati ambapo hakuna kundi la watu wakimzunguka"