# Wali.. "Wakuu wa makuhani na wakuu" # kumpa fedha "kumpa Yuda fedha" # alilidhia "alikubali" # alitafuta fursa ya kumkabidhi Yesu kwao mbali na kundi la watu hiki ni kitendo kinachoendelea baada ya sehemu hii ya simulizi kuisha. # kumkabidhi "kuwasaidia kumkamata Yesu" # mbali na kundi la watu "kwa usiri" au "wakati ambapo hakuna kundi la watu wakimzunguka"