sw_tn/luk/22/05.md

374 B

Wali..

"Wakuu wa makuhani na wakuu"

kumpa fedha

"kumpa Yuda fedha"

alilidhia

"alikubali"

alitafuta fursa ya kumkabidhi Yesu kwao mbali na kundi la watu

hiki ni kitendo kinachoendelea baada ya sehemu hii ya simulizi kuisha.

kumkabidhi

"kuwasaidia kumkamata Yesu"

mbali na kundi la watu

"kwa usiri" au "wakati ambapo hakuna kundi la watu wakimzunguka"