sw_tn/luk/21/37.md

24 lines
576 B
Markdown

# wakati wa mchana alikuwa akifundisha
"wakati wa mchana angeweza kufundisha." Mistari inayofuata kuhusu vitu ambavyo Yesu na watu walifanya kila siku katika wiki kabla hajafa.
# hekaluni
Tafsiri mbadala: "katika hekalu" au "kwenye uwanja wa ndani wa hekalu"
# usiku alitoka nje
"usiku angeliweza kwenda nje ya mji" au "alikwenda nje kila usiku"
# Watu wote
Tafsiri mbadala: "idadi ya watu wengi sana" au "karibu kila mmoja"
# walimuijia asubuhi na mapema
"wangekuja asubuhi na mapema" au "walikuja mapema sana kila asubuhi"
# kumsikiliza
"kumsikiliza akifundisha"