sw_tn/luk/21/37.md

576 B

wakati wa mchana alikuwa akifundisha

"wakati wa mchana angeweza kufundisha." Mistari inayofuata kuhusu vitu ambavyo Yesu na watu walifanya kila siku katika wiki kabla hajafa.

hekaluni

Tafsiri mbadala: "katika hekalu" au "kwenye uwanja wa ndani wa hekalu"

usiku alitoka nje

"usiku angeliweza kwenda nje ya mji" au "alikwenda nje kila usiku"

Watu wote

Tafsiri mbadala: "idadi ya watu wengi sana" au "karibu kila mmoja"

walimuijia asubuhi na mapema

"wangekuja asubuhi na mapema" au "walikuja mapema sana kila asubuhi"

kumsikiliza

"kumsikiliza akifundisha"