sw_tn/luk/21/32.md

548 B

kizazi hiki

Inaweza kutafsiriwa kama 1) kizazi ambazho kitaona moja ya ishara ambazo Yesu aliziongelea au 2) kizazi amacho Yesu alikuwa anakizungumzia. Tafsiri ya kwanza ni kama iko sahihi zaidi.

hakitapita, mpaka

Tafsiri mbadala: "kitakuwa bado hai wakati..."

Mbingu na nchi zitapita

"Mbingu na nchi zitakoma kuwepo." Neno "mbingu" hapa linamaanisha anga na ulimwengu mwingine juu yake.

maneno yangu hayatapita

"maneno yangu hayatakoma kuishi" au "maneno yangu hayatashindwa kamwe." Tafsiri mbadala: "Nikisemacho hakika kitatokea."