# kizazi hiki Inaweza kutafsiriwa kama 1) kizazi ambazho kitaona moja ya ishara ambazo Yesu aliziongelea au 2) kizazi amacho Yesu alikuwa anakizungumzia. Tafsiri ya kwanza ni kama iko sahihi zaidi. # hakitapita, mpaka Tafsiri mbadala: "kitakuwa bado hai wakati..." # Mbingu na nchi zitapita "Mbingu na nchi zitakoma kuwepo." Neno "mbingu" hapa linamaanisha anga na ulimwengu mwingine juu yake. # maneno yangu hayatapita "maneno yangu hayatakoma kuishi" au "maneno yangu hayatashindwa kamwe." Tafsiri mbadala: "Nikisemacho hakika kitatokea."