sw_tn/luk/21/29.md

497 B

Inapopukutisha majani yake

"Wakati majani yake yaanzapo kukuwa"

mnajionea wenyewe na kutambua

Tafsiri mbadala: "watu wanajionea wenyewe na kutambua"

kiangazi tayari kiko karibu

"kiangazi kiko karibu kuanza." Kiangazi katika Israel ni wakati wa ukavu sana, hivyo mazao huvunwa mwanzo wa kiangazi. Tafsiri mbadala: "wakati wa mavuno u tayari kuanza."

ufalme wa Mungu u karibu

Mungu atausimamisha ufalme wake hivi karibuni" Tafsiri mbadala: Mungu atatawala kama Mfalme hivi karibuni."