# Inapopukutisha majani yake "Wakati majani yake yaanzapo kukuwa" # mnajionea wenyewe na kutambua Tafsiri mbadala: "watu wanajionea wenyewe na kutambua" # kiangazi tayari kiko karibu "kiangazi kiko karibu kuanza." Kiangazi katika Israel ni wakati wa ukavu sana, hivyo mazao huvunwa mwanzo wa kiangazi. Tafsiri mbadala: "wakati wa mavuno u tayari kuanza." # ufalme wa Mungu u karibu Mungu atausimamisha ufalme wake hivi karibuni" Tafsiri mbadala: Mungu atatawala kama Mfalme hivi karibuni."