sw_tn/luk/21/29.md

16 lines
497 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Inapopukutisha majani yake
"Wakati majani yake yaanzapo kukuwa"
# mnajionea wenyewe na kutambua
Tafsiri mbadala: "watu wanajionea wenyewe na kutambua"
# kiangazi tayari kiko karibu
"kiangazi kiko karibu kuanza." Kiangazi katika Israel ni wakati wa ukavu sana, hivyo mazao huvunwa mwanzo wa kiangazi. Tafsiri mbadala: "wakati wa mavuno u tayari kuanza."
# ufalme wa Mungu u karibu
Mungu atausimamisha ufalme wake hivi karibuni" Tafsiri mbadala: Mungu atatawala kama Mfalme hivi karibuni."