sw_tn/luk/21/20.md

24 lines
517 B
Markdown

# Yerusalemu imezungukwa na majeshi
Tafsiri mbadala: "Majeshi yanauzunguka Yerusalemu"
# kwamba uharibifu wake umekaribia
"kwamba itaharibiwa hivi karibuni" au "kwamba watauharibu muda si mrefu"
# kimbia
"kimbia mbali kutoka kwenye hatari"
# hizi ni siku za kisasi
"hizi ni siku za adhabu" au "huu ni wakati ambapo Mungu atauadhibu mji"
# mambo yote yaliyoandikwa
Tafsiri mbadala: "mambo yote ambayo manabii wameandika katika maandiko matakatifu zamani za kale"
# yatatimilika
Tafsiri mbadala: "yatatokea"