sw_tn/luk/21/20.md

517 B

Yerusalemu imezungukwa na majeshi

Tafsiri mbadala: "Majeshi yanauzunguka Yerusalemu"

kwamba uharibifu wake umekaribia

"kwamba itaharibiwa hivi karibuni" au "kwamba watauharibu muda si mrefu"

kimbia

"kimbia mbali kutoka kwenye hatari"

hizi ni siku za kisasi

"hizi ni siku za adhabu" au "huu ni wakati ambapo Mungu atauadhibu mji"

mambo yote yaliyoandikwa

Tafsiri mbadala: "mambo yote ambayo manabii wameandika katika maandiko matakatifu zamani za kale"

yatatimilika

Tafsiri mbadala: "yatatokea"