# Yerusalemu imezungukwa na majeshi Tafsiri mbadala: "Majeshi yanauzunguka Yerusalemu" # kwamba uharibifu wake umekaribia "kwamba itaharibiwa hivi karibuni" au "kwamba watauharibu muda si mrefu" # kimbia "kimbia mbali kutoka kwenye hatari" # hizi ni siku za kisasi "hizi ni siku za adhabu" au "huu ni wakati ambapo Mungu atauadhibu mji" # mambo yote yaliyoandikwa Tafsiri mbadala: "mambo yote ambayo manabii wameandika katika maandiko matakatifu zamani za kale" # yatatimilika Tafsiri mbadala: "yatatokea"