sw_tn/luk/21/14.md

24 lines
685 B
Markdown

# Kwahiyo
"Kwa sababu ya hili." Yesu anatumia neno hili hapa kurejea kwenye kila kitu alichokisema.
# amueni mioyoni mwenu
Tafsiri mbadala: "zingatieni akilini mwenu" au "amua kiuthabiti"
# kutoandaa utetezi wenu
"kutokufikiri nini ambacho mtasema ili kujitetea kinyume cha mashitaka yao"
# nitawapa maneno na hekima
"Nitawaambia maneno gani ya hekima ya kusema"
# maneno na hekima
Tafsiri mbadala: "maneno ya hekima"
# ambayo adui zenu wote hawataweza kuipinga au kuikataa kwamba ni uongo.
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Adui zenu hawataweza kubishana na ninyi au kusema kwamba hamko sahihi" au "Adui zenu lazima wakubali kwamba mko sahihi."