sw_tn/luk/21/14.md

685 B

Kwahiyo

"Kwa sababu ya hili." Yesu anatumia neno hili hapa kurejea kwenye kila kitu alichokisema.

amueni mioyoni mwenu

Tafsiri mbadala: "zingatieni akilini mwenu" au "amua kiuthabiti"

kutoandaa utetezi wenu

"kutokufikiri nini ambacho mtasema ili kujitetea kinyume cha mashitaka yao"

nitawapa maneno na hekima

"Nitawaambia maneno gani ya hekima ya kusema"

maneno na hekima

Tafsiri mbadala: "maneno ya hekima"

ambayo adui zenu wote hawataweza kuipinga au kuikataa kwamba ni uongo.

Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Adui zenu hawataweza kubishana na ninyi au kusema kwamba hamko sahihi" au "Adui zenu lazima wakubali kwamba mko sahihi."