sw_tn/luk/21/12.md

32 lines
706 B
Markdown

# mambo haya
Hii inamaanisha mambo mabaya ya kutisha ambayo Yesu alisema yatatukia.
# wataweka mikono yao juu yenu
Tafsiri mbadala: "watawakamata" au "watawashika"
# wata...
"watu wata.." au "adui wata..."
# yenu
Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi wake.
# kuwapeleka kwenye masinagogi
"kuwatoa ninyi kwa viongozi wa masinagogi." Viongozi wa masinagogi wangewakataza Wayahudi wengine wote kuingiliana na wanafunzi kwa sababu wanamfuata Yesu.
# na magereza
"na kuwapeleka ninyi magerezani" au "na kuwaweka ninyi magerezani"
# kwa sababu ya jina langu
Tafsiri mbadala: "kwa sababu yangu" au "kwa sababu mnanifuata mimi"
# kwa ushuhuda wenu
"kwa ninyi kuwaambia wao ushuhuda wenu kunihusu mimi"