sw_tn/luk/21/12.md

706 B

mambo haya

Hii inamaanisha mambo mabaya ya kutisha ambayo Yesu alisema yatatukia.

wataweka mikono yao juu yenu

Tafsiri mbadala: "watawakamata" au "watawashika"

wata...

"watu wata.." au "adui wata..."

yenu

Yesu alikuwa akiongea na wanafunzi wake.

kuwapeleka kwenye masinagogi

"kuwatoa ninyi kwa viongozi wa masinagogi." Viongozi wa masinagogi wangewakataza Wayahudi wengine wote kuingiliana na wanafunzi kwa sababu wanamfuata Yesu.

na magereza

"na kuwapeleka ninyi magerezani" au "na kuwaweka ninyi magerezani"

kwa sababu ya jina langu

Tafsiri mbadala: "kwa sababu yangu" au "kwa sababu mnanifuata mimi"

kwa ushuhuda wenu

"kwa ninyi kuwaambia wao ushuhuda wenu kunihusu mimi"