sw_tn/luk/21/10.md

24 lines
738 B
Markdown

# Kisha akawaambia
"Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake." Kwa sababu huu ni mwendelezo wa kuongea kwa Yesu kutokea kwenye mstari wa nyumba, baadhi ya lugha zisingependelea kusema "Kisha akawaambia."
# Taifa litainuka kupigana na taifa jingine
Tafsiri mbadala: "taifa moja litashambulia taifa jingine"
# Taifa
Hii inamaanisha makundi ya watu ya kikabila kuliko nchi.
# Ufalme juu ya ufalme mwingine
Tafsiri mbadala: "Ufalme utainuka juu ya ufalme mwingine" au "majeshi kutoka ufalme mmoja utashambulia majeshi kutoka ufalme mwingine"
# njaa na tauni
"kutakuwa na njaa na tauni" au "nyakati za njaa na magonjwa yanayouwa watu wengi"
# matukio ya kutisha
"matukio yanayotisha watu" au "matukio yanayosababisha watu kuogopa sana"