sw_tn/luk/21/10.md

738 B

Kisha akawaambia

"Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake." Kwa sababu huu ni mwendelezo wa kuongea kwa Yesu kutokea kwenye mstari wa nyumba, baadhi ya lugha zisingependelea kusema "Kisha akawaambia."

Taifa litainuka kupigana na taifa jingine

Tafsiri mbadala: "taifa moja litashambulia taifa jingine"

Taifa

Hii inamaanisha makundi ya watu ya kikabila kuliko nchi.

Ufalme juu ya ufalme mwingine

Tafsiri mbadala: "Ufalme utainuka juu ya ufalme mwingine" au "majeshi kutoka ufalme mmoja utashambulia majeshi kutoka ufalme mwingine"

njaa na tauni

"kutakuwa na njaa na tauni" au "nyakati za njaa na magonjwa yanayouwa watu wengi"

matukio ya kutisha

"matukio yanayotisha watu" au "matukio yanayosababisha watu kuogopa sana"