sw_tn/luk/21/07.md

28 lines
684 B
Markdown

# wakamuuliza
"wanafunzi wakamuuliza Yesu" au "Wanafunzi wa Yesu wakamuuliza"
# mambo haya
Hii inarejea kile ambacho Yesu amesema kuhusu adui kuliharibu hekalu.
# kwamba msidanganywe
Yesu alikuwa akiwaambia wanafunzi wake.Tafsiri mbadala: "kwamba msiamini uongo" au "kwamba hakuna mmoja wa kuwadanganya."
# kwa jina langu
Tafsiri mbadala: "wanadai kuwa mimi" au "wanadai kuwa na mamlaka yangu"
# msiogope
"Msiruhusu haya mambo yawaogofye" au "msiogope"
# mwisho hautatokea upesi
Tafsiri Mbadala: "mwisho wa dunia hautatokea upesi baada ya vita na vurugu" au "dunia haitafikia mwisho upesi baada ya mambo hayo kutokea"
# mwisho
" mwisho wa kila kitu" au "mwisho wa miaka"