sw_tn/luk/21/07.md

684 B

wakamuuliza

"wanafunzi wakamuuliza Yesu" au "Wanafunzi wa Yesu wakamuuliza"

mambo haya

Hii inarejea kile ambacho Yesu amesema kuhusu adui kuliharibu hekalu.

kwamba msidanganywe

Yesu alikuwa akiwaambia wanafunzi wake.Tafsiri mbadala: "kwamba msiamini uongo" au "kwamba hakuna mmoja wa kuwadanganya."

kwa jina langu

Tafsiri mbadala: "wanadai kuwa mimi" au "wanadai kuwa na mamlaka yangu"

msiogope

"Msiruhusu haya mambo yawaogofye" au "msiogope"

mwisho hautatokea upesi

Tafsiri Mbadala: "mwisho wa dunia hautatokea upesi baada ya vita na vurugu" au "dunia haitafikia mwisho upesi baada ya mambo hayo kutokea"

mwisho

" mwisho wa kila kitu" au "mwisho wa miaka"