# wakamuuliza "wanafunzi wakamuuliza Yesu" au "Wanafunzi wa Yesu wakamuuliza" # mambo haya Hii inarejea kile ambacho Yesu amesema kuhusu adui kuliharibu hekalu. # kwamba msidanganywe Yesu alikuwa akiwaambia wanafunzi wake.Tafsiri mbadala: "kwamba msiamini uongo" au "kwamba hakuna mmoja wa kuwadanganya." # kwa jina langu Tafsiri mbadala: "wanadai kuwa mimi" au "wanadai kuwa na mamlaka yangu" # msiogope "Msiruhusu haya mambo yawaogofye" au "msiogope" # mwisho hautatokea upesi Tafsiri Mbadala: "mwisho wa dunia hautatokea upesi baada ya vita na vurugu" au "dunia haitafikia mwisho upesi baada ya mambo hayo kutokea" # mwisho " mwisho wa kila kitu" au "mwisho wa miaka"