sw_tn/luk/21/05.md

16 lines
436 B
Markdown

# matoleo
"vitu ambavyo watu walimpa Mungu"
# siku zitakuja ambazo
"kutakuwa na nyakati ambapo" au "siku fulani"
# hakuna jiwe moja ambalo litaachwa juu ya jiwe jingine
"kila jiwe litatolewa mahali pake." Tafsiri mbadala: "adui hawataliacha jiwe juu ya jiwe juu ya jiwe jingine."
# ambalo halitabomolewa
Hii inaweza kutafsiriwa kama sentensi mpya. Tafsiri mbadala: "Yote yatabomolewa chini" au " Adui watabomoa chini kila jiwe."